naomba msaada wa tiba,kitunguu chaelekea kunishinda

naomba msaada wa tiba,kitunguu chaelekea kunishinda

Suprise

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
2,696
Reaction score
1,063
za jiioni wapendwa,
hii itawahusu wale wenye urafiki na jiko,
jamani sio masihara mwenzenu nimejaribu kukizoea kitunguu lakini naona nashindwa, kifupi nahitaji dawa kwa mwenye experience kwani kila napokigusa kukatakata chaishia kunipa machozi na mafua hapo ntautafuta upepo ulipo kwanza ndio nije niendelee sekunde mbili kilio tena, kipindi nipo home kwa wazazi nilikua nategea wadogo zangu wananiandalia me naendelea na viungo vingine, sasa maisha haya ya kutafuta now cna msaada nikifikiria kitunguu tu nakosa raha ya kupika , nsaidieni jamani naogopa cku ntakutana na wakwe live wananshangaa navyotokwa na michozi,

am serias jamani am luuking for dawa au mbadala wa kutayarisha kitunguuu,
kama hili c jukwaa lake pia nsaidieni kuhamisha bt i ril nid a help on this.
 
wanasema mwagia chumvi kabla hujaanza kukikatakata...try that...ama vipi mzungu alishatengsneza appliance for that jipange ukainunue
 
kata kile kikonyo cha juu, kichome kwenye kisu wakati unakata.

Au kata kikonyo, weka kichwani hapa mbele mbele ila kisianguke hadi unamaliza kukata kitunguu.

Mie huwa vinanitoa machozi kama debe 6, ila huwa natumia ya pili, haimalizi tatizo ila inapunguza.

Afu ukinunua vitunguu chagua vile vyenye rangi ya papo chache zaidi, kadiri vinavyokuwa papo zaidi ndivyo vinaliza zaidi.
 
wanasema mwagia chumvi kabla hujaanza kukikatakata...try that...ama vipi mzungu alishatengsneza appliance for that jipange ukainunue

thanks mzabzab cjawahi iona inafananaje bt inabidi tu nikaitafute madukani
 
kata kile kikonyo cha juu, kichome kwenye kisu wakati unakata.

Au kata kikonyo, weka kichwani hapa mbele mbele ila kisianguke hadi unamaliza kukata kitunguu.

Mie huwa vinanitoa machozi kama debe 6, ila huwa natumia ya pili, haimalizi tatizo ila inapunguza.

Afu ukinunua vitunguu chagua vile vyenye rangi ya papo chache zaidi, kadiri vinavyokuwa papo zaidi ndivyo vinaliza zaidi.
thanx ma dr, ntachukua vyeupe kabisa maana vimenikosesha hata amani, inapofika kwenye kusaidia shughuli zetu za uswazi nakwepaje vikija vitunguu, maisha gani haya lol
 
  1. refrigerate onion for at least 30 minutes before chopping & peeling or try freezing for about 10 to 15 minutes (depending on size) before slicing into it.
  2. Cut onion under water (either under a running tap or in a sinkful of water). The water will dissolve the sulfur compounds before they can reach your eyes.
 
akili yangu bana1yani hapa niliaza kuwaza mambo mengineee!bora umenisaidia kufafanua
well kitunguu kinaliza kwa kweli !
pengin eubadilisha aina vitunguu though vile vyeupe huwa vimepooza sana!tofauti na vile vya purple!
 
kama vipi uwe unatinga miwani kama ile ya wapiga mbizi...mwanawane hakuna mchozi utakaotiririka.
option namba mbili, hakuna haja ya kuvikatakata, we vitumbukize hivyo hivyo kama unavyopika nyanya chungu vile...kwa nini mtoto wa kike uteseke bhanaa eenh!!
 
Mwl snowhite najua ulidhani ni power of mchochomeo!

akili yangu bana1yani hapa niliaza kuwaza mambo mengineee!bora umenisaidia kufafanua
well kitunguu kinaliza kwa kweli !
pengin eubadilisha aina vitunguu though vile vyeupe huwa vimepooza sana!tofauti na vile vya purple!
 
Last edited by a moderator:
akili yangu bana1yani hapa niliaza kuwaza mambo mengineee!bora umenisaidia kufafanua
well kitunguu kinaliza kwa kweli !
pengin eubadilisha aina vitunguu though vile vyeupe huwa vimepooza sana!tofauti na vile vya purple!

tehetehe, snowite umewaza wapi tena,
 
tehetehe, snowite umewaza wapi tena,

we acha tu!
kweli kimtokacho mtu ndicho mawazo yake!
mi nilianza kuibebesha kugha ya picha hiyo thread yako!alh ngoja nipunguze vipindi na hawa wanfunzi nao wameshakuwa wakubwa wakajifunze huko barabarn
 
akili yangu bana1yani hapa niliaza kuwaza mambo mengineee!bora umenisaidia kufafanua
well kitunguu kinaliza kwa kweli !
pengin eubadilisha aina vitunguu though vile vyeupe huwa vimepooza sana!tofauti na vile vya purple!

hahaha, snowite uliwaza nini tena, thanx
 
kama vipi uwe unatinga miwani kama ile ya wapiga mbizi...mwanawane hakuna mchozi utakaotiririka.
option namba mbili, hakuna haja ya kuvikatakata, we vitumbukize hivyo hivyo kama unavyopika nyanya chungu vile...kwa nini mtoto wa kike uteseke bhanaa eenh!!

watu8 hilo la miwani nimelichukua bt mbele za watu c ndio mwanzo wa kuitwa SHARO,
Hiyo option namba mbili umewahi ijaribu, inatokelezeaaaaaa
 
Tafuna Chewin gum wakati unafanya hilo tendo,Jaribu hivyo halafu rudi hapa kutoa shukrani.
 
mimi tatizo langu ni kwamba nikikishika harufu haiishi mpaka siku tatu
 
Back
Top Bottom