baby success
JF-Expert Member
- Jul 14, 2022
- 548
- 1,806
Me BADO mdogo mkuu na pia siko tayar kuzaa sahivInabidi uzae kwanza ndo uje tukushauri
21Una miaka mingapi baby success
Tumia mitishamba itakusaidia sana..
Unaposema nyeusi mno nashindwa kuelewa ni weusi wa aina gani?Habari za asbuh wakuu
Nahitaji msaada wa hili swala, tatizo nikwamba nikiwa naingia zangu mwezini period inakua ni nzito sana yaani inakua kama imeganda ganda harafu ni nyeusi mno,
KILA nikienda hospital napewa dawa hali inakua ni ile ile tu kama kuna hospital nimeenda juzi ndio kabisa nikapewa dawa za uzazi wa mpango,
Angalizo mimba sijawai kutoa.
Mwenye kujua dawa anisaidie tafadhari
NAKAZIA baby successWeka picha
Mti shamba yenyewe naijua BASI ndio maana nimekuja hukuTumia mitishamba itakusaidia sana..
Ila kama hutojali niachie namba yako PM kwa msaada zaidi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ngoja nicheke na matatizo yanguNAKAZIA baby success
Iko na brown colorUnaposema nyeusi mno nashindwa kuelewa ni weusi wa aina gani?
Mimi naona ungetuma picha kwanza
Nyie watoto, huwa hamuoni haya kuzungumzia haya masuala hadharani?Habari za asbuh wakuu
Nahitaji msaada wa hili swala, tatizo nikwamba nikiwa naingia zangu mwezini period inakua ni nzito sana yaani inakua kama imeganda ganda harafu ni nyeusi mno,
KILA nikienda hospital napewa dawa hali inakua ni ile ile tu kama kuna hospital nimeenda juzi ndio kabisa nikapewa dawa za uzazi wa mpango,
Angalizo mimba sijawai kutoa.
Mwenye kujua dawa anisaidie tafadhari
Kumbe ? Kwahiyo mkuu tunafanyaje?Hiyo damu inayochelewa kutoka kwenye uterus hubadilika rangi Hadi kufikia kuwa nyeusi.
🤣🤣🤣 hayo sio matatizo kama angalau unaiona. Tatizo linakuja pale ikiwa haionekani wengine mpaka wanaenda kuwaona madaktari[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ngoja nicheke na matatizo yangu
Sasa fanya mpango wa namba huo mbona unarukaruka hvyo baby success.. Au hutaki msaada..?Mti shamba yenyewe naijua BASI ndio maana nimekuja huku
Aone haya kivipi mkuu? Nyie ndo akina baba ambao huwa mnashindwa hata kuzungumza na mabinti zenu kuhusu period. Ni jambo la kawaida sanaNyie watoto, huwa hamuoni haya kuzungumzia haya masuala hadharani?
Hili ni jukwaa la afya SASA kama nimeenda hospital sijapata ufafanuzi nafanyaje?? Nina shida ndio maana haya sina na haya ni matatizo kama matatizo mengine asiye jua nani?Nyie watoto, huwa hamuoni haya kuzungumzia haya masuala hadharani?