Tony Yeyo JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 733 Reaction score 570 Apr 23, 2022 #1 Watalamu hii milio ya tumboni uwa ni dalili za nini? Maana inakuwa kama kuna kitu kinatoa sauti vile
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,623 Reaction score 64,494 Apr 23, 2022 #2 Umekula vya watu
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,497 Reaction score 27,761 Apr 23, 2022 #3 Kwanza unakua umekuLa au maana hata ukiwa njaa mda mwngne inatokea Umetisha dana mjomba sema hujaja
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,393 Reaction score 59,137 Apr 23, 2022 #4 Mamndenyi said: Umekula vya watu Click to expand... 😂😂
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,353 Apr 23, 2022 #5 Ni dalili kuwa hukutafuna vizuri chakula, tumbo linapata tabu katika ufyonzaji wa viini lishe na mchakato wa kugeuza chakula kuwa mbolea.
Ni dalili kuwa hukutafuna vizuri chakula, tumbo linapata tabu katika ufyonzaji wa viini lishe na mchakato wa kugeuza chakula kuwa mbolea.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,121 Reaction score 1,249,302 Apr 23, 2022 #6 kapime minyoo
Lovebird JF-Expert Member Joined Sep 27, 2012 Posts 6,662 Reaction score 9,974 Apr 23, 2022 #7 itakuwa hewa ya ukaa imejaaa inatafuta expansion joint itokeee
M mstarabu mzalendo New Member Joined Dec 26, 2015 Posts 4 Reaction score 3 Apr 23, 2022 #8 Kama liunguruma kipindi ukiwa una njaa ,hiyo Ni minyoo ming
Tony Yeyo JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 733 Reaction score 570 Apr 23, 2022 Thread starter #9 Sky Eclat said: Ni dalili kuwa hukutafuna vizuri chakula, tumbo linapata tabu katika ufyonzaji wa viini lishe na mchakato wa kugeuza chakula kuwa mbolea. Click to expand... Thanks
Sky Eclat said: Ni dalili kuwa hukutafuna vizuri chakula, tumbo linapata tabu katika ufyonzaji wa viini lishe na mchakato wa kugeuza chakula kuwa mbolea. Click to expand... Thanks