jomasi0002
Member
- Apr 3, 2018
- 45
- 24
Habari wanajamii forum ninashida ya takwimu hizi hapa za jiji la mbeya(mbeya city).
Naomba kujua % ya barabara zilizopo sasa, % ya uwepo wa njia ya reli, na % ya viwanja vya ndege vilivyopo sasa.
Tafadhali kama hujui unaweza kupita tu.Ni muhimu nahitaji msaada wenu.
NB: kama unaijua source ambayo hizo taarifa zipo unaweza kunisaidia.
Asanteh