Naomba msaada wa shule ya ada isiyozidi milioni 1.6

Naomba msaada wa shule ya ada isiyozidi milioni 1.6

msela kuntu

Senior Member
Joined
Jun 28, 2019
Posts
116
Reaction score
183
Msaada mwenye kujua shule ya kidato cha tano kati ya mkoa wa Dar, Moro, Dodoma, Tanga au Moshi ambayo ada yake sio zaidi ya 1.6 kwa mwaka
 
Back
Top Bottom