Naomba msaada wa quote link ya thread

Bonyeza vidoti vitatu hapo

Then nenda kwenye copy URL

Utaambiwa link imekopiwa

Then hold screen mahali unapotaka kuiweka

Utaambiwa upaste

Paste

Utaletewa link ya hiyo heading.

Nenda hapa [ / ].


Then fanya kama unaizingira hiyo link kwa mabano.
Mfano

[ u r. L]. Link. [ / u. R. L]. Then. Bonyeza mshale


Note usiweke hizo dot zozote wala usiache manafasi coz nilitaka tu kukuelekeza. Pia tumia helufi kubwa humo kwa mabano
 


aina ya tatu

unataka ipi kati ya hizo...!???
Shida yangu ni namna ya ku quote nafanyaje? kwa mfano kumtagi mtu, najua nina click @ halafu jina mtu bila kuacha space sasa je kwenye hizo link niguse wapi na wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…