Naomba msaada wa ofisi za Tan Trade

Naomba msaada wa ofisi za Tan Trade

Makaanji

Member
Joined
Jan 1, 2013
Posts
45
Reaction score
16
Habarini, naomba kueleweshwa ofisi za Tan Trade ambazo zipo kilwa road. Zipo maeneo gani!! Nashuka kituo gani cha daladala ili kufika!! Asanteni sana
 
ofisi za Unilever ziko sehemu gani? tafadhali napanda gari za wapi na kuteremka kituo gani?
 
Back
Top Bottom