Habari wanaJF,
Naombeni kama kuna anayefahamu jinsi ya kutengeneza "Facebook & Instagram ads" kwa kutumia smartphone, na endapo zikafanya kazi kwa ufasaha nitaomba anitafute kwa kunipa elimu juu ya hili. Nitamlipa kidogo maana elimu ina gharama.
Namba: 0683484606