Naomba msaada wa mawasiliano ya NACTE

Naomba msaada wa mawasiliano ya NACTE

nkasime

Member
Joined
Oct 1, 2011
Posts
36
Reaction score
16
Niko kwenye process ya kumfanyia mtu application ili aweze kuomba chuo kikuu kama NACTE walivyoagiza kwa watunwa equivalent,bahati mbaya nimekutana na technical problem,hivyo kwa mwenye mawasiliano na hawa jamaa naomba aweke hapa,maana contacts zao walizotoa naomba ni za mapambo hakuna hata moja inayopokelewa. Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani email hawajibu, wala Simu hawapokei. Hakika. Rais Dr Magufuli, yuko sahihi kuondoa vyeti feki na incomplete certificates kwenye hizi ofisi.
 
Niko kwenye process ya kumfanyia mtu application ili aweze kuomba chuo kikuu kama NACTE walivyoagiza kwa watunwa equivalent,bahati mbaya nimekutana na technical problem,hivyo kwa mwenye mawasiliano na hawa jamaa naomba aweke hapa,maana contacts zao walizotoa naomba ni za mapambo hakuna hata moja inayopokelewa. Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifanikiw nijulishe na mimi ndg

je waweza ntajia sifa za mwombaj
 
Back
Top Bottom