Marco shija
Member
- Sep 20, 2015
- 64
- 36
Naomba kutofautishiwa haya maneno Cock, hen na chicken yanatofautianaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Cow, cattle and bullcock ni jogoo,wakikujibu hao wengine niulizie tofauti ya cattle na cow
kwa kuwa hukuwa na mpango wa kuelewa
Cock~ Jogoo, hen~Mtetea (tembe) na chicken hii inamanisha jamii ya viumbe wanaitwa kuku. Hii inajumuisha jogoo, mtetea na vifaranga vyao...cock ni jogoo,wakikujibu hao wengine niulizie tofauti ya cattle na cow
Huyu kuku kama anashangaa vileCock~ Jogoo, hen~Mtetea (tembe) na chicken hii inamanisha jamii ya viumbe wanaitwa kuku. Hii inajumuisha jogoo, mtetea na vifaranga vyao...
![]()
Vipi kuhusu "rooster"Cock = jogoo
Hen = mtetea
Chicken = Ndio General name kama unavyosema "kuku", bila kujali jike au dume
Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app