Naitaji kutunza kumbuka kumbuka za biashara zangu kuanzia manunuzi ya jumla mpaka raja raja kuanzia siku mwezi mpaka mwaka
Perfect answer!Nionavyo mimi wewe unachohitaji mtu akutengenezee application ambayo itakusaidia kufanya vyote unavyotaka.
Nadhani jibu hapo juu la KVM ndio sahihi. List mahitaji yako kisha tafuta mtu capable akutengenezee system ambyo itafanya hayo kwa interface rahisi kabisa. Itakurahisishia sana kuliko kujifunza Excel. With time, excel itafikia ukomo wa unachotakaKaka asante kwa maelezo mazuri nafikiri nakuitaji sana mtu anifundishe kutumia exl maana
Sidhani kama siku hizi kuna app serious zinatumia bado MS Access. Wengi wanatumia MySQL, Oracle, PGS and the like. Hata VB wengi wamehamia kwenye .Net version than Plain VB aka VB6.Kwa maoni yangu application hiyo inaweza kutengenezwa kwa kutumia MS Access ikichapiwa kidogo na Visual Basic. .
Sidhani kama siku hizi kuna app serious zinatumia bado MS Access. Wengi wanatumia MySQL, Oracle, PGS and the like. Hata VB wengi wamehamia kwenye .Net version than Plain VB aka VB6.
Other than that nakubaliana na analysis yako!