Wakuu naombeni msaada wa ku switch virtualisation iwe on.
Maana nime downloa bluestack katika PC yangu baada ya hapo katika kuitumia Imenicommand kuwasha virtualization ili niweze ku perfom vizuri.Natumia Window 10.Proceco i5-5200 U.
Kaka zanguu Akiwemo Chief Mkwawa