Naomba msaada wa kupata Program za Microsoft office

lutamyo

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
641
Reaction score
159
Tafadhari wakuu naomba msaada wa jinsi ya kufanya pc yangu haina office window kama excel ms-word sasa nashindwa kufanya kazi Mungu awabariki.
 
Naomba yeyote aliye na setup ya Microsoft office 2013, anisaidie maana nna file kubwa la MB kama 800 ambapo office 2010 haifungui. Natanguliza shukran.
 
OK,kuna jamaa yangu yupo bagamoyo ila huja dar mara kwa mara. Kama bado hujapata ntakukutanisha nae ili akupatie.
 
Naomba yeyote aliye na setup ya Microsoft office 2013, anisaidie maana nna file kubwa la MB kama 800 ambapo office 2010 haifungui. Natanguliza shukran.

mbona kubwa sana, km computer ina specifications za kuunga unga litakua lina crash crash sana while editing! cheki torrent utapata mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…