Ms. Kadadaa jumapili Senior Member Joined Jul 9, 2013 Posts 102 Reaction score 48 Nov 18, 2014 #1 Habari za humu, samahani kwa mtu anayejua jinsi ya kujiunga internet kwenye iphone 4s ya kichina kila nikifungua kwenye settings halafu nikifika network nikigusa inakataa kufunguka, kwa anayejua jinsi ya kufanya niunge internet.
Habari za humu, samahani kwa mtu anayejua jinsi ya kujiunga internet kwenye iphone 4s ya kichina kila nikifungua kwenye settings halafu nikifika network nikigusa inakataa kufunguka, kwa anayejua jinsi ya kufanya niunge internet.