Tegwa Investment
Member
- Nov 14, 2014
- 20
- 2
hizi software zinapatika bure je box unazo kama huna haina haja yawewe kuhitaji hizi software za kurepair simu wakati box huna
Samahani kaka natamani sana kuwa fundi wa simu upanude wa software nahitaji msaada wako kaka kwani nina pc tu hivyo nahitaji maelekezo yako
yap sure, hizo zote zinazoishiwa na box ni hardware, itakua jamaa anataka aanzishe sehemu ya kuflash simu ila maelezo hajayaelewa.
Naomba unipe hatua muhimu za kwanza ili nianze na hatua moja moja kwanza
nashukuru kwa mchango wenuanza na hizo hapo juu software official za watengeneza simu na odin.
Ila kuwa makini na kubrick simu za watu.