eliasmushi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 430
- 111
Nili update firmware kwa kutumia Samsung Kies, nikafanikiwa, sasa nikitaka kupiga simu inaniandikia NOT REGISTERED ON NETWORK. Nikiangalia IMEI NUMBER naona imebadilika ni tofauti na iliyokuwepo.watu wakinipigia wanaskia cm inaita sipokei ila kwenye hii simu sioni kama napigiwa.