Naomba msaada wa kufuta message ya WhatsApp

Naomba msaada wa kufuta message ya WhatsApp

ugido

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2014
Posts
421
Reaction score
104
habari za muda huu wana jf naomba msaada mwenyekujua jinsi ya kufuta mesage ya wasap ambayo nimeandika nikakosea ikaenda sehemu ambayo sio sahihi .kama vile tunavyo futaga mesege ya kwenye group lakn sasa hii sio group ni mtu mmoja nafutaje ? msaada kabisa
 
Highlight message unayotaka kuifuta then click kile kidude cha delete on top of ur whtsap chat then zitakuja option ya kuchagua ufute kwako peke yako au kote then ndo una delete unavyotaka,simple like that.........
 
option hiyo inatokea kama mesege ni katika group lkn kama umeituma kwa mtu mmoja haioneshi
 
msaada jaman nataka mesage zilizotumwa zigutike ili kuondoa ushahidi nimejaribu nimeshindwa maana, nimejaribu kufuta ambazo ziko kwenye group **** option ya ku dellete all but niliyotuma kwa namba ya mtu direct haina option ya kufuta mesage nisaidieni mwenye kujua nitafungwa nisaidieni sana. kuna case ambapo mtu anatumia mesage kama ushahidi.
 
nisaidie simple ki vipi
Kama hivi
IMG_20180423_174926_514.jpg
 
nimegundua kitu nimejaribu kuandika mesage afu nikatuma kwa mufa huo nikajaribu kufuta ikakubali imenipa option ya delet all lkn mesage nazotaka kufuta ina kama siku 7 naomba msaada mwenye kujua kina chief mkwawa nisaidieni
 
hainipi option ya dellete all inanipa option ya kudelete kwangu tuuu
 
inaonesha hivo haikupi ile option ya ku delete all
Screenshot_20180423-175659.jpg
 
delleye for every one hamna msaada tutani jamani sina amani
 
Hatari sasa kilichobaki hapa wewe sema ulifanya nini ili tukushauri juu ya kesi yako
 
Ikishindikana kabis mtumie virus kwa simu yake ili icorupt afu simu yake itafuta kila kitu
 
nielekeze jinsi ya kutuma kirus nikitume
 
nimegundua kitu nimejaribu kuandika mesage afu nikatuma kwa mufa huo nikajaribu kufuta ikakubali imenipa option ya delet all lkn mesage nazotaka kufuta ina kama siku 7 naomba msaada mwenye kujua kina chief mkwawa nisaidieni

Unatumia simu gani?
Au ushapata msaada mkuu?
 
natumia sumsung galax j7 prime. na tatizo langu halijatatuliwa
 
Back
Top Bottom