Naomba msaada wa kufungua Ipad Iliyo ji-lock

Naomba msaada wa kufungua Ipad Iliyo ji-lock

BOFREE

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Posts
1,060
Reaction score
1,454
Nina IPAD os 711 niliinunua kwenye mnada kulikua na vitu vingi vinapigwa mnada ila tatizo ni kwamba mwanzoni nilikua naitumia vizuri.

Naona mwenye nayo alitoa taarifa kwenye kampuni ya APPLE wakaifunga nikiifungua inaitaji email na pasword ili niweze kingia ndani nimeulizia wananiambia sijue nitafute software ya BYPASS ndio itafungua au niende ofisi ya apple waifungue naomba mwenye uelewa anifahamishe
 
Pop de Zungu ku bypass hautaweza kutumia mtandao (cellular network) hivyo kama umeridhika kuitumia kama iPod waweza fanya hivyo..!!
Kuhusu kuwafuata Apple inakubidi uwe na documents za kuthibitisha kuwa wewe ndie mmiliki halali wa hiyo simu kitu ambacho nahisi huna kwani wewe umeinunua kwenye mnada....!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom