Nahitaji Kufanya Malipo Katika website fulani nje kiasi kama $5 Tu.
Naomba Msaada mwenye card au paypal account
Ni muhimu sana kufanya leo kabla ya saa 5 usiku, naombeni sana msaada wakuu jamani.
Malipo nafanya $5 Tu.
Tatizo hapo uaminifu na je kwanini usieleze kabisa kuwa unataka kufanya malipo wapi na kwaajili gani? Ukibania info watu wanakuwa hawako interested kusaidia.
Tatizo hapo uaminifu na je kwanini usieleze kabisa kuwa unataka kufanya malipo wapi na kwaajili gani? Ukibania info watu wanakuwa hawako interested kusaidia.
Mie sina shida kumuamini Mtu
Nampa details afanye yeye mwenyewe akikamilisha basi deal done
huku nipo hata kama kuna mtu atakuwa na account basi nadhani ni mwalimu wa shule ya msingi na secondary tu