hazole1 JF-Expert Member Joined Jan 3, 2015 Posts 4,319 Reaction score 3,919 Feb 19, 2015 #1 Nina s4 sch r970c inakataa kusoma laini inaonekana kama imelokiwa msaada tafadhali
P paul2xp Member Joined Jan 17, 2015 Posts 21 Reaction score 3 Feb 19, 2015 #2 hazole1 said: nina s4 sch r970c inakataa kusoma laina inaonekana kama imelokiwa msaada tafadhali Click to expand... kwan iyo simu umenunua ya shilika la mtandao km tigo au voda au imetoka ivo ivo
hazole1 said: nina s4 sch r970c inakataa kusoma laina inaonekana kama imelokiwa msaada tafadhali Click to expand... kwan iyo simu umenunua ya shilika la mtandao km tigo au voda au imetoka ivo ivo
hazole1 JF-Expert Member Joined Jan 3, 2015 Posts 4,319 Reaction score 3,919 Feb 19, 2015 Thread starter #3 paul2xp said: kwan iyo simu umenunua ya shilika la mtandao km tigo au voda au imetoka ivo ivo Click to expand... hii simu kuna jamaa aliniuzia ni mkenya lakini yeye anasema alinunua Namibia
paul2xp said: kwan iyo simu umenunua ya shilika la mtandao km tigo au voda au imetoka ivo ivo Click to expand... hii simu kuna jamaa aliniuzia ni mkenya lakini yeye anasema alinunua Namibia
P paul2xp Member Joined Jan 17, 2015 Posts 21 Reaction score 3 Feb 19, 2015 #4 ya so nichek mm ntakusaidia namba 0784042930 ntakusaidia ila kupata izo unlock unalipia ina bid unitafte kisha ntakupa ghalama iliwachukue watume code cwez taja kabla cjajua watakata ngap
ya so nichek mm ntakusaidia namba 0784042930 ntakusaidia ila kupata izo unlock unalipia ina bid unitafte kisha ntakupa ghalama iliwachukue watume code cwez taja kabla cjajua watakata ngap
Brakelyn JF-Expert Member Joined Oct 6, 2009 Posts 1,181 Reaction score 522 Feb 19, 2015 #5 hazole1 said: nina s4 sch r970c inakataa kusoma laina inaonekana kama imelokiwa msaada tafadhali Click to expand... nitafute 0716904626
hazole1 said: nina s4 sch r970c inakataa kusoma laina inaonekana kama imelokiwa msaada tafadhali Click to expand... nitafute 0716904626
P paul2xp Member Joined Jan 17, 2015 Posts 21 Reaction score 3 Feb 20, 2015 #6 inawezekana Brakelyn ila unalipia kupata izo namba mana znatolewa na hao waloitengeneza iyo cm Last edited by a moderator: Jan 4, 2016