Naomba msaada wa ku-unlock S4 sch r970c

Naomba msaada wa ku-unlock S4 sch r970c

hazole1

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
4,319
Reaction score
3,919
Nina s4 sch r970c inakataa kusoma laini inaonekana kama imelokiwa msaada tafadhali
 
kwan iyo simu umenunua ya shilika la mtandao km tigo au voda au imetoka ivo ivo
hii simu kuna jamaa aliniuzia ni mkenya lakini yeye anasema alinunua Namibia
 
ya so nichek mm ntakusaidia namba 0784042930 ntakusaidia ila kupata izo unlock unalipia ina bid unitafte kisha ntakupa ghalama iliwachukue watume code cwez taja kabla cjajua watakata ngap
 
inawezekana Brakelyn ila unalipia kupata izo namba mana znatolewa na hao waloitengeneza iyo cm
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom