K KING_ETHAN Member Joined Oct 4, 2014 Posts 21 Reaction score 0 Oct 15, 2014 #1 Natafuta mtu anayeweza kunisaidia ku unlock hii router ya smile iweze kusoma simcard zingine, asanteni
Natafuta mtu anayeweza kunisaidia ku unlock hii router ya smile iweze kusoma simcard zingine, asanteni
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,067 Reaction score 43,498 Oct 15, 2014 #2 KING_ETHAN said: Natafuta mtu anayeweza kunisaidia ku unlock hii router ya smile iweze kusoma simcard zingine, asanteniView attachment 193618 Click to expand... unajua specs zake? kama ina 4g tupu usihangaieke kui unlock maana hakuna mtandao wenye 4g kwa sasa. ila kama ina 3g na 4g endelea kutafuta
KING_ETHAN said: Natafuta mtu anayeweza kunisaidia ku unlock hii router ya smile iweze kusoma simcard zingine, asanteniView attachment 193618 Click to expand... unajua specs zake? kama ina 4g tupu usihangaieke kui unlock maana hakuna mtandao wenye 4g kwa sasa. ila kama ina 3g na 4g endelea kutafuta
K KING_ETHAN Member Joined Oct 4, 2014 Posts 21 Reaction score 0 Oct 15, 2014 Thread starter #3 ina 3g