Naomba msaada wa kitaalam

Naomba msaada wa kitaalam

MUTAKANGWA

Member
Joined
Oct 28, 2013
Posts
37
Reaction score
2
Natumaini wote ni wazima wa afya.
Naomba msaada katika hili. Nataka kununua smartphone hasa inayotumia OS ya android. Bajeti yangu ni 200,000 mpaka 250,000. Ni simu gani naweza kupata yenye uwezo mzuri wa kupiga kazi. Ahsanteni
 
Kwa pesa uliyonayo nakushauri ununue tecno p3 ni nzuri sana.bei yake ni laki na 50
 
Back
Top Bottom