haya majitu mengi sana mwanza hadi kero, dimbwi dogo tu yamo,kandokando ya ziwa mengi sana, anaejua kuyaandaa anielekeze nifaidike na hii fulsa, tena ngoja nikachukue ya majalibio sasahivi
mkuu Azola hiyo hapa niliamua kujenga kisima ntengenezw yangu kupunguza gharama ulishaji mifugo nilizipata baharini mbegu za Azola kwenye mkondo wa maji