Naomba msaada wa kazi zangu za uandishi wa vitabu

albertt

JF-Expert Member
Dec 28, 2013
339
78
Mimi ni kijana wa miaka 23.Nina kipaji cha uandishi wa vitabu vya mapishi lakini changamoto inayo nikabiri ni jinsi ya kupata wasaidizi au wafadhili waweze kunisaidia ili niweze kufanikisha malengo.Kama unamsaada au ushauri namba zangu no 0716385824
 
Back
Top Bottom