Adobe suite(Adobe creative suite) ni mkusanyiko wa adobe product (tools) for creativity
So tukifanya comparison ya tool za Adobe zinayoweza kufanya yanayofanywa na coreldraw basi adobe illustrator ndo mpango mzima hii sio kwamba coreldraw haiwezi kufanya vizuri kama illustrator bali kwa kuwa adobe illustrator inakubalika kikazi zaidi na wataalamu wa vector based graphics wanatumia hiyo mara kwa mara.
Maoni yangu:
Tumia illustrator kwa kuwa hata interface yake ni rahisi kuielewa.
Pia haisumbui sana kwenye kufanya installation wakati mwingine coreldraw inataka internet kuinstall library flani kwenye window labda version za sasa
Ni hayo tu.