Hakikwanza
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 4,055
- 1,023
Samahani ndugu zangu ninashida kwenye king'amuzi changu cha Startimes cha dish. Kilipoteza baadhi ya chanel nikafanya factory reset . Sasa ninapoendelea kusearch inagoma kupata chanel na haionyeshi signal za antenna.
Nimejaribu king'amuzi kingine safi na signal ipo 88. Ila kuna fundi fulani wa startimes alinipa number nikaziingiza nikapata signal safi kipindi nilipo kinunua kwani kilifanya hivihivi sasa nimesahau. Msaada wenu tafadhari? Nipo Iringa vijijini