Hahaha! Ati kama anatafuta gari, tena la mkopo! Kazi kweli!
Siku atamsasambua mamako mzazi urudi tukushauri. Learn how to trust ur guts, dude!
nashukuru kwa ushauri wako mkuu.Siku zote mimi nakataliana sana na watu wanaodhani mapenzi ni kati ya wawilit tu... Kama ni u hawara na urafiki wa mda yaani mko kwa ajili ya mahusiano ya bila future then huyo dada atakufaa. Unapo oa mke, huoi tu mwanamke ambae anakufurahisha roho na kukutuliza nafsi yako na mwili wako. Unaoa mtu ambae anapaswa kufaa kuwa rafiki, mshauri, mama mwema wa watoto wako na kiongozi bora wa nyumba yako to make it a home...
Hapo umejuana naye ni mda mfupi, namuona hana simile, hana aibu wala hana ustaarabu... Sifa ambazo ni msingi sana kwa mtu ambae anastahili kuwa mke. Angekuwa na hizo sifa asingegombana na hao watu kazini - naomba tu imagine kuwa huyo dada hao watu ni baki, basi jua kwa kiasi kikubwa ndugu zako (na hata wa kwake) nawa treat hivo.
Kutafuta mchumba vijana wengi sana wanakosea siku hizi (iwe wake kwa waume); Mnataka kuwa ikifika age ndio utafute mtu wa kuwa mke wako... Hio haistahili mara nyingi sana unaangukia garasha na kumbuka kuwa ukisha oa/oana ni for life. Hata hivo mie naona hujachelewa bado upo young... Cha msingi jipatie walau mwaka ama miwili kutafuta mwanamke ambae kweli anastahili kuwa mke na your life patner, Na sio kwa staili ambayo unatumia... Umekutana na mtu kazi siku chache tayari ukafikiria kutangaza ndoa...
Nakutakia kila la kheri katika kumpta mke alie bora na familia iliyo barikiwa. Pamoja saana.
hata wewe mtoa mada una gubu pia.
Kukutana na mtoto wa watu ushaanza kumchambua na kuja kulalamika hapa kabla hata hujamwambia nia yako??
Inaelekea wewe ni 'mdonho', unachambua sana, wewe ni 'perfect'??
Halafu kingine, sina hakika kama unampenda huyu, au ni ile kiu yako ya kuwa na mpenzi hatimaye kuoa inakufanya unadhani unempenda huyu binti.
Tulia kwanza, jua unachotaka na uachane mambo ya kukimbizana na umri kama feri la kigamboni.
mkuu nimecheka mpaka nimevunjika mbavu!!!
mawazo yako ni mhimu sana mkuu tia hata neno moja tu
Kuna msemo wa Kiingereza unasema
'do no cross the bridge before until you come to it'
so wewe ulipaswa kuanza nae tu taratibu
mkishindwana basi
Huyu kijana sijui vp,mke ni mtu muhimu sana,tatizo tunachukulia poa sana!Enwei,nimechoka kuandika,kwanza simu inaisha chaji,hebu msome dada AshaDii,itakusaidia!
Mimi naomba kupingana na hoja kwamba mke ni wa wote..mke ni wa kwako na kama wewe unamfurahia ndugu zako watamfurahia tu na hata hawamfurahii sio big deal pia kumbuka wewe ndiye utakaa naye muda mrefu. Kama unadhani anafit kwenye vigezo vingi binafsi nadhani hilo la gubu na matusi linarekebishika.
Ndio maana ya kukaa uchumba na bahati nzuri umeyaona haya mapungufu..Jaribu kutumia hiki kipindi cha uchumba kumrekebisha/kurekebishana na pia usidhani utampata mkamilifu kama yule wa gfsonwin . Wewe endelea naye taratibu na hayo mengine yanaweza kujiset..ndoa ni shule na wanafunzi ni wanandoa na hakuna anayeingia shuleni anajua kila kitu..mtajifunza mengine huko huko mbele ya safari
Kila kheri ndugu!!!

ni kweli mtazamo wako kuwa ndoa ni yako kama umempenda wewe wengine hawana nafasi ya kukushauri hata kama unapotea.
mimi sijaoa wala sina mpango, jamaa kagungua matatizo ambayo anadhani hatayaweza, ila vijana tulio wengi tunadhani kwamba kama mtu ana tabia ambazo zinakukwaza ATABADILIKA MKIOANA, hiyo mi napingana nayo 100% haiwezekani ashindwe kuficha makucha huku nje afiche akiwa ameolewa, nahisi atatukana mpaka wakwe.
halafu umesema eti, MAMBO MENGINE YATAKUJA MBELE YA SAFARI. nani kakudanganya?
kwa mtazamo wangu, ushauri watu wanatoa ila mwenye maamuzi ya mwisho ni yeye muhusika kunyoa au kusuka
mkuu hapa unajua tupo ofic moja, kila wakati tunakuwa tunaona
sasa mie naona ofc itakuja kuwa chungu km nitamtokea akakubali alaf baadae tuka uvunja urafiki/uchumba