Naomba msaada wa Application nzuri ya kuhide sms

Go SMS
Iyo ni App ya SMS hapo uta add private conversation kama una michepuko wote waweke private. Afu toa na pattern kabisa ujidai mwema kumbe HAKUNA ALIYE MWEMA
Hahah kweli aisee tena ukipata cracked swafiii
 
je nikitoa line yake na nikiweka kwenye simu yangu wakati amelala meseji zake hazitaingia kwenye simu yangu
 
Kiboko yake ni HANDCENT NEXT SMS
 
S
Mbele ya Go SMS
huwezi kushikwa na SMS za michepuko, saiv Mimi napata shida hatari maana SMS nachatia kitochi yaan kushikwa njenje hata sipumui full kuoga na simu
Siku hzi wameweka limit ya contacts 3 tu
 
Hahah! sio mimi tu ata wewe nakushauri utumie utakua hauingii bafuni na simu yako
Nani sasa anayeingia bafuni na simu yake mm sina madhambi ninayoficha hiyo app hainifai
 
Nani sasa anayeingia bafuni na simu yake mm sina madhambi ninayoficha hiyo app hainifai
App inakuoffer vitu vingi vingi tu sio sms pekee, Video zenu zile, Picha picha na mengine mengi
 
App inakuoffer vitu vingi vingi tu sio sms pekee, Video zenu zile, Picha picha na mengine mengi
Mm binti mlokole we kaka sinaga mavideo ya kuficha wala picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…