ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,685
.hata mie washkaji kwahyo hapo ndo maanake nini? daa ugeni wa mambo huuu..ila nashukuru.Hata me ivo man
Subiria second round hu apply tenah mara ya pili
Kwangu juu ipo proccessed ila nikifungua selected course "not yet done application" nakumbuka viboksi nilitiki kabisa, mtu wa TCU kama yupo jamani toa maelezo, hapa bora application za zamani tu za digital uhuni tu
mi nahic wanawachek waliomaliza mwaka huu kwanza wenye BRN thn wazaman wanafata. na walivyoweng nafasi zote wakamalizayani haya si majanga jaman?kuna mchizi cbg mwaka f6 2013 alipata div3 ya 14,chem E,geo E,bio D,gs F,bam F,jamaa anapenda geology,pharmacy,medical lab,md&nursing so akajitosa kurisit bahati mambo yamekuja level f6 2014 amepata dv2 point 9, gs D,chem B,bio B,geo B,bam C then akaaply md(cuhas),bpharm (stjohn),bsc nursing(muhas),bsc geology(udsm)&b of nursing (stjohn)..et anasema leo kaingia kwny akaunt yake kakuta kaandikiwa "SORRY YOU HAVE NOT YET DONE APPLICATION WELCOME TO 2ND ROUND APPLICATION"..ina maana hawa tcu huwa wana consider kwanza applicants waliomaliza f6 mwaka huo wa application?mbona kuna wenye dv3 za point 13 mwaka huu akaunti zao hazijazinguliwa na ukiangalia wameapply sehemu zenye competition mpaka hapa hakuna hata umaana wa tcu jamani
kuna uwezekano mkubwa pia kuwa hakukamilisha application yake kwa kuweka tiki kwenye vibox 2 pale chini vyenye maandishi mekundu na huenda hakurudi kukagua application yake hadi muda ulipopita. Au wakati anajaza alifanya editing na haku save changes
SELECTION bado walichofanya ni ku process applications wakati wakiangalia kama vigezo vinakidhi au la. kwa alieandikiwa PROCESSED kama mimi kuna note inatutaka tusubiri kama tuna qualify au vipi na tumeaswa tuwe tunacheki akaunti zetu mara kwa mara. weka pointer kwenye maandishi PROCESSED utaona maelekezo.
Kwang imeandika u have been selected Lkn haitaji chuo chochote,, wala haijaonyesha eligibility
mimi nimeandikiwa maelezo kwa chini kwamba
PROCESSED SUCCESSFULLY. YOU HAVE BEEN SELECTED
Xaxa unatakiwa uingie kwny hyo sehem walipokuambia click here
elimu kwa kweli basi dah. yan apa nataman kufa kufa dah