Naomba msaada tatizo la display kwenye laptop

Naomba msaada tatizo la display kwenye laptop

The Teacher

Senior Member
Joined
Feb 2, 2013
Posts
176
Reaction score
82
Please mwenye kujua tatizo, min laptop yangu screen yake hai display...ilidondoka kutoka meza ya chakula to the floor..anisaidie plz.
 
ni yakufanya checkup yawezekana mkanda au kioo kimeharibika, au lose connectin, unaweza nichek nikuangalizie
 
kama ilidodondoka hapo kuna mambo mengi sana yanaweza jitokeza bt jaribu kuwashia kwenye monitor ya nje kwanza ili tujue ina boot windows au la!kama ulisha jaribu lete majibu kwanza then tujue pa kuanzia.
 
Ahsanten kwa ushauri, naomba LOOOK unijuze namna ya kuwashia kwenye monitor ya nje? Hw shud i connect t?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom