Cdhan kama kuflash n tatizo, smartphones n tabia zake sbb muda mwng zko busy, muda wote zko connected na net na znafanya sync, hata kama huitumii, yenyw inakuwa iko as if kwnye net, njia rahc n kuipunguzia mzgo, kama huko net tumia 2G network badala ya 3G, pia unapochaji toa mfuniko na uciweke kwenye godoro, kioo au sponji, weka kwenye ubao na au mahali joto litasambaa kirahc, ikiwezekana chn. Hii itasaidia kui cool down. Toa app zsizo za lazma ambazo hutegemea net mara kwa mara. Pia battery savers nahc huchangia sana kuichemsha cm. Ikiacha kuchemka mara kwa mara betr hufa mapema.