valentino nakua
Member
- Nov 18, 2018
- 26
- 5
Mkuu zamani tulikuwa na cpu ambayo inaprocess Mambo mbalimbali kwenye vifaa vya electronic, baada Mambo ya games na software kubwa za graphics zilivyoongezeka zikaja Gpu ambazo zilisaidia kwenye upande wa graphics na Sasa Hivi kumekuja NPU (Neural processing unit) ambayo Ina accelerate Machine learning.
Simu karibia zote mpya Zina hii kitu, Machine learning Ni ule uwezo wa machine kujifunza na kujiongeza yenyewe bila kuwa programmed. Hii machine learning Ni Application ya Artificial Intelligence, hivyo kifupi upo sahihi hio Ni akili ya simu.
Matumizi yake Ni Kama
-kutambua vitu vinavyokuzunguka mfano kwenye Huawei flagship inaweza kukutajia vyakula unavyokula majina yake, idadi ya calories na details nyengine pale unapoelekezea kwenye hivyo vyakula, unaweza ukapima urefu, upana wa vitu mbalimbali hata Kama vipo mbali, kukuelekeza mahali kitu fulani kinapouzwa na mifano mbalimbali.
-kutambua kitu unachofanya na na simu kuji adjust yenyewe, mfano hao hao Huawei walikuwa wanacheat Benchmarks kwa Kutumia AI, simu inapofungua App ya Benchmark thermal limitation wanaiondoa na inaproduce perfomance kubwa Sana,
Kuna launcher ya simu ilikuwa Ina predict matumizi yako mfano wewe kila siku asubuhi ukiamka unafungua Facebook, na kuangalia YouTube then hii launcher inajiset yenyewe kila ikifika asubuhi inaziweka mbele app ya FB na YouTube.
Ila kwenye hio Tecno yako unamiss hardware nyingi Sana za kuimplement Mambo mengi ya AI, labda vitu vidogo vidogo vya camera itafanya.
Hii video ya AI kazini
Mkuu nje ya mada kidogo nina pc ina specs hizi hapaMkuu zamani tulikuwa na cpu ambayo inaprocess Mambo mbalimbali kwenye vifaa vya electronic, baada Mambo ya games na software kubwa za graphics zilivyoongezeka zikaja Gpu ambazo zilisaidia kwenye upande wa graphics na Sasa Hivi kumekuja NPU (Neural processing unit) ambayo Ina accelerate Machine learning.
Simu karibia zote mpya Zina hii kitu, Machine learning Ni ule uwezo wa machine kujifunza na kujiongeza yenyewe bila kuwa programmed. Hii machine learning Ni Application ya Artificial Intelligence, hivyo kifupi upo sahihi hio Ni akili ya simu.
Matumizi yake Ni Kama
-kutambua vitu vinavyokuzunguka mfano kwenye Huawei flagship inaweza kukutajia vyakula unavyokula majina yake, idadi ya calories na details nyengine pale unapoelekezea kwenye hivyo vyakula, unaweza ukapima urefu, upana wa vitu mbalimbali hata Kama vipo mbali, kukuelekeza mahali kitu fulani kinapouzwa na mifano mbalimbali.
-kutambua kitu unachofanya na na simu kuji adjust yenyewe, mfano hao hao Huawei walikuwa wanacheat Benchmarks kwa Kutumia AI, simu inapofungua App ya Benchmark thermal limitation wanaiondoa na inaproduce perfomance kubwa Sana,
Kuna launcher ya simu ilikuwa Ina predict matumizi yako mfano wewe kila siku asubuhi ukiamka unafungua Facebook, na kuangalia YouTube then hii launcher inajiset yenyewe kila ikifika asubuhi inaziweka mbele app ya FB na YouTube.
Ila kwenye hio Tecno yako unamiss hardware nyingi Sana za kuimplement Mambo mengi ya AI, labda vitu vidogo vidogo vya camera itafanya.
Hii video ya AI kazini
Sasa Nitai screenshot na kuileta humuhebu nendapo uscreenshot kisha ulete pucha tuone kwanza
Ile macro intelligence ni hii hapa, nimei screenshotSasa Nitai screenshot na kuileta humu