specialist88
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 1,140
- 619
Jaribu kufanya factory reset
Tahadhari utafuta kila kitu na simu itakua kama inatoka kiwandani
Jaribu kufanya factory reset
Tahadhari utafuta kila kitu na simu itakua kama inatoka kiwandani
Mkuu hizi simu ukifanya factory reset ndio znajfuta neno samsung na kuandka mediatek..
daaaah sasa nifanyeje kaka?
Kuhusu tatzo lakuwa slow jaribu kui swipe(factory reset),.
Ila kuhusu. Hilo la kuandika Mediatek ndio haliwez kupona kamwe..
sio kweli
Mkuu C6 tuambie ukweli nasi tujifunze..
nilikuwa busy mkuu wangu Paul S.S na Somji Juma kifupi ni kuwa logo ya android kwenye samsung za kichina uwa inakuwa masked na custom boot image waliyoitengeneza wachina wakiimitate kama ya samsung, ila tatizo kama hilo likitokea jaribu kufanya factory reset au ikiendelea na tatizo basi download boot image na iflash kwenye simu yakoNi bora usingejibu kabisa.......u know what i means