mr wilehard
Member
- Jun 29, 2015
- 49
- 23
Of coz mi ni mhitimu wa form six mwaka huu so hyo ni dada yanguKwani ukisema tu ni wewe ndo hautasaidiwa?
Ila kama una msaada nisaidieKwani ukisema tu ni wewe ndo hautasaidiwa?
Una disco vipi?????unaanzaje Ku disco??? Sikuwahi pata hata sup wakati nasoma.Zwazwa hiloo
sr imemtema ujasi... pole ...UDOM wametoa matokeo juzi hivyo huyo ni mhanaga wa UDOM
jf inawaweka bussy kula sup sup sup za nguvu pole... gpa ya 1.8 umeikosa nahisi utakuwa na 1.2Akafanye kilichomweka buzy hadi aka disco mkuu.
Shule haikuwa her first priority,
Hope atafanya vyema mno akiwekeza her full time kwa kilichomweka buzy hadi akafeli.
Umemuuliza ni kitu gani?