Naomba msaada, nakaribia kuhitimu chuo nahitaji kazi

Naomba msaada, nakaribia kuhitimu chuo nahitaji kazi

Wewe si ulikuwa una kebehi wenzako wanaoulizia majibu ya usaili TRA? Na kujigamba kuwa uko kwenye jopo ndo mnachambua majina? Acha mbwembwe kijana.
hamna , yule mwenye mbwembwe anaitwa troll jf, na sijui kapotelea wapi, maana sijamuona hapa jukwaani baada ya matokeo tra
 
hamna , yule mwenye mbwembwe anaitwa troll jf, na sijui kapotelea wapi, maana sijamuona hapa jukwaani baada ya matokeo tra
Ni kweli hajaonekana sijui ana ban?
Akiludi tuu haaha atafukua kaburi zote
 
Tulia kijana najua una hofu sana... maliza kwanza chuo, kazi utapata tu
 
Kwa hiyo umepata kazi kwa msaada wa member humu JF ama la.?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom