tax compliant
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 1,211
- 1,200
Ni matumaini yangu kuwa nyote mu wazima kabisa.
mimi ni kijana wa miaka 23 na pia ni mhitimu mtarajiwa katika chuo cha usismamizi wa fedha (IFM) (2016), namshukuru Mungu kwa afya njema aliyonijalia kwani imenisaidia kufanya vibarua vya hapa na pale na kuendelea kuishi, lengo kuu la kuja hapa jukwaani na kuomba msaada wenu ni hali yangu ya sasa. hali yangu ya kiuchumi ni mbaya sana lakini pia natamani sana kupata fursa ya kuendeleza career yangu,
pamoja na kujaaliwa afya njema kiasi cha kumudu kufanya kibarua chochote imekua vigumu sana hata kupata kibarua ingawa natafuta kila siku iendayo kwa Mungu tena kwa bidii sana. Naweza kufanya kazi yoyote wakuu ilimradi ni kazi halali, kwa sababu nahitaji pia kupata uzoefu ntashukuru sana hata nikipata nafasi ya kujitolea bila malipo yoyote (internship au volunteering),
pia ninaweza kuisaidia organization kwenye masuala mazima ya kodi na pia uhasibu kwani nimesomea usimamizi wa kodi (bachelor in taxation) na nimefaulu vizuri (4.0 GPA) na nimefanya kazi hiyo na mamlaka husika (TRA) kwa kipindi cha miezi mitatu kama assistant tax officer.
Wakuu nina mambo mengi sana ya kuandika na pengine naweza kuishia kuwachosha, naombeni kwa yeyote anayeweza kunisaidia kwa namna moja au nyingine ani-PM ili tuwasiliane zaidi. Natanguliza shukrani.
"FEAR GOD AND WORK HARD"
mamlaka husika (TRA) hivyo nina uzoefu pia