Naomba msaada mwenye namba ya watu wa DAWASCO

Tunzo

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
4,066
2,363
Nipo hapa Mwenge, DSM kuna Bomba limepasuka hapa nnje kwangu, maji ni mengi yanaingia kupitia getini kwangu, hapa nnje ni bahari, naomba kama kuna mtu mwenye namba ya watu wa DAWASCO anisaidie ili waje wanipe msaada
 
Back
Top Bottom