Naomba msaada mtoto anawashwa sehemu za siri

Mine eyes

JF-Expert Member
Apr 11, 2016
6,432
7,092
Habari wakuu,

Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kuna binti wa ndugu yangu tunalea. Ana miàka 12 sasa.

shida aliyonayo ni huwa anawashwa sana sehem za siri baadhi ya siku. Kapelekwa hospital kupima Madocta wanasema hana tatizo lolote, si hospitali moja tumekwenda majibu ni yale yale.

Usafi tunajitahidi sana, tunaishia kupewa dawa za kupaka, BP solution na vidonge tu!

Naomba msaada wenu wadau labda naweza kupata walau mwanga tufanyeje!
Hana vipimo vinaonesha hana maradhi ya zinaa na ni mtoto bado.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atakua na vaginal candidiasis

Plan B ya tiba hii hapa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom