MPARE KIBOGOYO
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 405
- 281
Asante mkuu...ila hapo kwenye water mark yanatokea kwenye full page. Nilishajaribu.fungua program yenyewe nenda kwenye page layout kisha nenda kwenye watermark insert ilo neno lako apo lina tokea unavyo taka kama nitakuwa nimekuelewa vizuri
kuna opption apo ya saizi unayotaka na postion unayotakaAsante mkuu...ila hapo kwenye water mark yanatokea kwenye full page. Nilishajaribu.
Sent using Jamii Forums mobile app
fungua program yenyewe nenda kwenye page layout kisha nenda kwenye watermark insert ilo neno lako apo lina tokea unavyo taka kama nitakuwa nimekuelewa vizuri
nilivyo muelewa au atumie header kama ataona iyo watermark sio header iko kwenye insert tafuta header iyo utaweka maneno kwa staili iyo na inaoption uweke juu au chiniNi kweli anataka WATERMARK
nilivyo muelewa au atumie header kama ataona iyo watermark sio header iko kwenye insert tafuta header iyo utaweka maneno kwa staili iyo na inaoption uweke juu au chini