Naomba msaada matumizi ya window 8

moghaka

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
252
Reaction score
145
Wakuu salama? Kama ilivyo kichwa cha habari na kama ilivyozoeleka kwenye Windows XP ilikuwa rahisi kwenda kwenye program kwa kupitia start Button unakutana na orodha ya program zote.

Shida yangu ni kwa Windows 8.1 Unfanyaje kama hujaweka Icon ya hiyo program kwenye task bar?
 
kama ni 8.1 inayo start bonyeza then utaenda start screen tafuta kimshale kimeelekea chini kama hukioni right click au nenda kwenye corner ikitokea charms bar nacho kitatokea

 
kama ni 8.1 inayo start bonyeza then utaenda start screen tafuta kimshale kimeelekea chini kama hukioni right click au nenda kwenye corner ikitokea charms bar nacho kitatokea

Shukran mkuu Ubarikiwe.
 
Unaweza ukabonyeza key ya window kwenye keyboard then zitakuja programs au vitu vyote vilivyopo kwenye PC yako then utachagua kitu unacho kitaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…