Kwa namna moja ama nyingine utafaidika kwa ku-upload wimbo huo kwa vile kila atakae uhitaji nitamwelekeza autafuta katika blog yako , hapa nadhani umeshajua ni faida(indirect profit) gani utakayo kuwa unaipata kutokana na vistors watakao tembelea na kuupakua,
Ukiachilia mbali hilo shukrani zangu za pekee zitakufikia na nitakuwa mmoja kati ya agent wako kwa kuitangaza blog yako kwa watu wa eneo nililoko.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwako 'ewe utakae toa msaada wako!