GREAT INVESTOR
Senior Member
- Nov 13, 2018
- 128
- 295
Lol....You made my day. Professor wa nini? Mbona kama njaa na uzee vinamsulubu?Mangekimambi
Ongea na Nyani Ngabu akupe connectionWanajamii kwema,,
Sina mengi, naombeni msaada kwa yeyote anaemfahau Professor au Dr alieko Marekani anisadie/Dm.
Natanguliza Shukrani.
Dah,.. Nyani NgabuOngea na Nyani Ngabu akupe connection
Nashkr kiongoziIngia Google ,search Prof Tobias sando. watakuletea m cv wake tafuta humo contacts zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili yako ndogo sanawasiliana na mojawpo ya ma Prof hawa hapa chini.
Prof Talib Kweli
Prof Ukweli Roach
Prof Taraji Penda Henson
Prof Rehema Ellis
Prof Sanaa Lathan
Prof Amani Toomer
wasiliana na mojawpo ya ma Prof hawa hapa chini.
Prof Talib Kweli
Prof Ukweli Roach
Prof Taraji Penda Henson
Prof Rehema Ellis
Prof Sanaa Lathan
Prof Amani Toomer
Niongezee mkubwa wangu ili zitoshelezi.π€£π€£π€£π€£π€£Akili yako ndogo sana
Mtanzania mkuuHujasema Kama lazima awe mtanzania au awe raia yoyote