Naomba msaada kuondoa, "unfortunately google play store has stopped" Error

Bahati furaha

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2012
Posts
3,077
Reaction score
1,439
Habari za usiku huu wanajamvi ?

Nashindwa kudownload apps kwenye Tecno M3, katika Play Store. Kila nikijaribu inakuja meseji hii "unfortunately google play store has stopped".
NAOMBENI MSAADA WADAU.
 
Habari za usiku huu wanajamvi?
Nashindwa kudownload apps kwenye Tecno M3, katika Play Store.
Kila nikijaribu inakuja meseji hii "unfortunately google play store has stopped".
NAOMBENI MSAADA WADAU.

Jarib kurestart simu mkuu,
 
Inategemea ina mda gani toka inaanza kukupa pop up msg, kama haina mda mrefu iache then itajirudi ila kama ni mda mrefu the best way ni ku-unstall the app, then download and reinstall, then go back to your home screen tap the app to lauch.

Nadhani mpaka hapo tatizo litakuwa limekwisha !
If it helped, feedback me.
 

Mkuu, Play Store ni system app ambayo inakuja ipo installed tayari. Ni vipi naweza kui unistall?
 
Mkuu, Play Store ni system app ambayo inakuja ipo installed tayari. Ni vipi naweza kui unistall?

Sio kila kila device yenye Android operating system inakuja directly na Play store or Google play, hapana, Play store co default system app ila ni software installed application. Kama hujui jinsi ya ku-unstall fuata maelekezo haya.
1)= Touch and hold an app then on the top of your devise, utaona two options (shortcut and unstall )ambayo inakutaka uchague weather you like an app to be short cut or unstalled!
2)= Drag an app to your selected options, then pop up confirmation messages will appear on the screen with two options. (cancel and unstall)
3)= Touch to the selected option to confirm, hapo utakuwa ushamaliza kazi.
Thereafter download it to www.playstore.com/download
www.googleplay.com/download
Pia waweza pata Android apps kwa kudownload, www.moboginie.com ila tu this is not a trusted site!

Nawakilisha......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…