Naomba msaada kujua juu ya water pump

Naomba msaada kujua juu ya water pump

mkanyipeda

Member
Joined
Mar 8, 2018
Posts
25
Reaction score
19
Habari wakuu
Naomba msaada kujua juu ya water pump hizi zinazotumia mafuta,
Je zina uwezo wa kuvuta maji kisima cha futi 50?
Na kama zinaweza ipi pump bora zaidi
Karibuni
 
Habari wakuu
Naomba msaada kujua juu ya water pump hizi zinazotumia mafuta,
Je zina uwezo wa kuvuta maji kisima cha futi 50?
Na kama zinaweza ipi pump bora zaidi
Karibuni
Ntafute mm Nna water pump aina ya grundfos ni nake za kijerumani.....ziko za 2 phase na 3 phase......unaweza tumia umeme au jenereta ya kv 6.5 and above.....zinauwezo mkubwa sana kwenye Kilimo cha umwagiliaji.....
Mzigo nnao mwenyewe huo

Ova
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom