Naomba msaada kuhusu telnet

baldin

Senior Member
Joined
Jan 2, 2012
Posts
185
Reaction score
41
nimetelnet freeshell.org kwenye port 22,nimefanikiwa kulogini lakini nimeshinndwa kuendelea naomba msaada wa commands
za kuchat kupitia ssh!:nerd:
 
nimetelnet freeshell.org kwenye port 22,nimefanikiwa kulogini lakini nimeshinndwa kuendelea naomba msaada wa commands
za kuchat kupitia ssh!:nerd:

Msaada ni kusoma wa makini na kuelewa maelezo haya amabyo yapo katika hatua fulani unapojisajili kwa ama new user

Unataka kulog in kufanya nini. Maana ukitumia command ya help iaupaoptin zote zinazoweza kukusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…