Habari zenu wanajamvi, nahitaji kuconfigure server ambayo itakuwa inahudumia clients 5
ninamaswali 2 naomba mwenye ujuzi nayo anisaidie tafadhali
a) Naweza kuwa na network yangu inside public network(Wif-i)?
b) Je, naweza kuwa na private LAN yangu na still nikaweza kutumia/kuaccess public LAN or Wif-i at the same time bila matatizo?. Thanks