overview:
simu hizo zina Random Access Memory ndogo sana kama sikosei ni 256 RAM,hata processor pia ni ndogo so matatizo kama hayo ni common kwa sim hizo,kama sio virusi basi issue hapo ni apps ulizo install humo inawezekana ume install nyingi kulinganisha na uwezo wa simu au inawezekana umeinstall apps chache lakini zinakula memory nyingi so zinapotumika kikawaida au ktk background zinakula sana memory na kusababaisha program za simu kuto perform inavyotakiwa.
cha kufanya:
1.jaribu kwanza kuondoa apps zote ulizoinstall.
2.scan simu ako unaweza umia avast,kerspersky au hata Avg ziko poa tu baada ya matokeo ya scan check kama bado tatizo lipo.kama tatizo bado lipo;
3.delete au remove all call logs and sms hata multimedia pia.
4.reboot our phone kama atizo bado lipo njoo hapa na feedback.
angalizo:
1.sio kila apps unzokutana nazo play store na kuzipenda uinstall nyingine zinakua intensive memory consumers na ku overwhelm rAm ya simu yako.
2.kabla huja uninstall apps zako unaweza kuzihamishia kwenye external storage(sd/memory card)kam unataka sms zako unaweza hmishia katika sim card.