Socrates_family
Member
- Oct 14, 2018
- 21
- 28
Wakuu naomba sana kujua jinsi ya kulifukuza mini l mahaba.
Na pia naomba kujuzwa kuhusu ;
1. Linatokea wapi ?
2. Lina uwezo gani kuharibu maisha ya MTU
3. Linakaa kwa MTU mpaka kipindi gani
4 . je, halifi ?
5. Kulifukuza ni mbinu gani inatumika na kulitokomeza kabisa?
Nisaidieni , mwenye ushauri mzuri sana anaweza pia kunifuata private tukaongea jinsi ya kusaidiana
Nawasilisha

Pole mkuu , nani kakuambia kuwa.una jini mahaba?
Au dalili gani unazo ambazo zinakufanya uamini kuwa una jini mahaba?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipi kilichokufanya ujue kama wewe una jini mahaba?Wakuu naomba sana kujua jinsi ya kulifukuza mini l mahaba.
Na pia naomba kujuzwa kuhusu ;
1. Linatokea wapi ?
2. Lina uwezo gani kuharibu maisha ya MTU
3. Linakaa kwa MTU mpaka kipindi gani
4 . je, halifi ?
5. Kulifukuza ni mbinu gani inatumika na kulitokomeza kabisa?
Nisaidieni , mwenye ushauri mzuri sana anaweza pia kunifuata private tukaongea jinsi ya kusaidiana
Nawasilisha
Pole mkuu , nani kakuambia kuwa.una jini mahaba?
Au dalili gani unazo ambazo zinakufanya uamini kuwa una jini mahaba?
Sent using Jamii Forums mobile app
Audhu billahi minashaytwaani rrajiim.Mkuu , nateseka sana , Luna m wengine wamechukulia utani , kwa kweli siyo utani
Limenifilisi sana na kila siku usiku linakuja linaniambia lazima niachane na mke wangu LA sivyo litaniletea majanga
Na kweli mpaka sasa nimeona madhara
Wakati mwingine linakuja linataka sex nakataa , linalazimisha sana mpaka tunafanya
Mikosi mingi imeniandama baada ya kuoa
Weka story nzima ueleweke. Ilianzaje? Huyo member anayeitwa Hammaz amekuuliza maswali pia kabla hajakupatia ushauri. Lazima ujibu maswali mfano unaishi wapi?wewe una dini?Wewe ni ke au me? kabila lako?Duh , ungejua navyoteseka ungenihurumia
Audhu billahi minashaytwaani rrajiim.
Bismillah lladhii la yadhurru ma'as mih shay un fil ardhi walaa fii ssamaai wahuwa ssamiul aliim.
Ndoo kwanza naiona mda huu.
Kipi ambacho umekifanya mpaka yamekukuta hayo? Una tabia ya kukaa uchi sana? Au ulikuwa ni mtu wa michepuko? Au ulikuwa unaota ndoto sanaaa za kujimiiana na mwanamke? Au una chanzo kingine?
Ila fahamu kwamba unavyo chati hapa anajua, sikutishi ila ndiyo halisi.
Mwanzo wako ni upi mpaka yamekukuta hayo?
Dunia ni pana kuliko unavyoifikiri.Acheni ujinga nyie. Mambo ya dark ahges haya. Mambo ya kijima. Mkuu huna tatizo lolote zaidi ya hofu isiyokuwa na msingi. Irrational fear inakufanya uone, usikie, kugusa, n.k vitu ambavyo havipo. Shinda hofu yako na yote unayohisi yanakikumba yatakwisha!
Umjuaje kama haukuwa ndoto tu!Mbona hiyo ni kawaida kwa wanaume epsecially mara baada ya balehe?Tatizo unafichaficha details.Ilitokea nikawa najikuta naota najamiiana nayo ndotoni mkuu , nilivyooa ndo yakaanza kunitishia
Acheni ujinga nyie. Mambo ya dark ahges haya. Mambo ya kijima. Mkuu huna tatizo lolote zaidi ya hofu isiyokuwa na msingi. Irrational fear inakufanya uone, usikie, kugusa, n.k vitu ambavyo havipo. Shinda hofu yako na yote unayohisi yanakikumba yatakwisha!