Naomba msaada kuhusu internet connection katika laptop

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Posts
42,099
Reaction score
12,920
Heshima yenu wakuu.
Laptop yangu ina shida ya connection ya internet (Cable connection). Nimeuliza nikaambiwa haina drivers na nikaelezwa namna ya kuzidownload. Lakini nimejaribu zaidi ya mwezi nimeshindwa, kabla ya kwenda hatua nyingine zaidi nimekuja kwa wataalamu mnisaidie.
Napata meseji hii ninapodownload drivers......."The Realtek Network Controller was not found. If Deep Sleep Mode is enabled Please Plug the Cable".

Laptop ni Dell Inspiron M511R,,,,,,,,,,,window 7 32 - bit.

Msaada tafadhali namna ya kuweza kuondokana na hilo tatizo.

c.c: Chief-Mkwawa afande kifimbo
 
Tafuta driverpack solution inaweza kukusaidia kama tatizo ni driver
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…